HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 14, 2021

Nayfat Badru aibuka mshindi mashindano ya Kijitonyama Junior Tennis Tournament

 

 

Kocha wa Tennis Ismail Said, akimvesha medali, Nayfat Badru ambaye aliibuka mshidi wa kwanza katika mashindano ya Kijitonyama Junior Tennis Tournament chini ya miaka 12, yaliyofanyika katika viwanja vya Kijitonyama Dar es Salaam juzi.

 

Baadhi ya washiriki wa Kijitonyama Junior Tennis Tournament wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa mashindano hayo yaliyofanyika kwenye viwanja vya Kijitonyama Dar es Salaam juzi.


 

No comments:

Post a Comment

Pages