HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 27, 2021

Uzinduzi wa kampeni ACT Wazalendo jimbo la Konde

 

 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo , Ismail Jussa Ladhu, akimtambulisha kwa wapiga kura  mgombea wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kondo katika nafasi Ubunge Muhammed Said Issa katika uzinduzi wa kampeni uliofanyika viwanja vya Okapi Msuka Wilaya ya Micheweni Jimbo la Konde.


Shamra shamra za Furaha kwa wanachama wa ACT wazalendo.


No comments:

Post a Comment

Pages