HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 07, 2021

Wachezaji timu ya NMB Kanda ya Dar es Salaam waonyesha vipaji

  Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Donatus Richard, akizungumza na wachezaji watakaounda kikosi cha timu ya NMB Kanda ya Dar es Salaam baada ya kuchujwa.

Wachezaji wa timu hiyo wakiwa katka mazoezi mepesi kabla ya mechi ya kirafiki.
.
Joel Chuku akipasha kabla ya kuanza mechi ya kirafiki ya kutafuta wachezaji watakaounda kikosi cha timu ya NMB Kanda ya Dar es Salaam.

Vikosi vya timu zote mbili kabla ya mchezo vikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo kuanza.


 Wachezaji wa timu ya soka ya NMB Kanda ya dar es Salaam kabla ya kuanza kwa mechi ya kirafiki ya mchujo wa wachezaji watakaounda kikosi cha timu hiyo.


 Ahmed Nassor, akimiliki mpira.
Eric Mwantende (kulia), akichuana na Fredrick Mwita.


No comments:

Post a Comment

Pages