HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 07, 2021

MAAFISA ELIMU KATA, WALIMU WAKUU WAPIGWA MSASA DAR

 Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo, akipata taarifa fupi kutoka kwa Mkurugenzi Uthibiti Ubora wa Elimu, Euphrasia Buchuma kabla ya kufungua mafunzo ya Kuimarisha Usimamizi na Uthibiti wa Ubora kwenye Shule ambapo washirili 11, 580 wakiwemo walimu wakuu 7,679 na maafisa elimu kata  3901 yanayofanyika katika Shule ya Msingi Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo, akipata mapokezi alipowasili katika Shule ya Msingi Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo kufungua mafunzo ya Kuimarisha Usimamizi na Uthibiti wa Ubora kwenye Shule.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo.
Mkurugenzi Uthibiti Ubora wa Elimu, Euphrasia Buchuma, akizungumza kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo kufungua mafunzo ya Kuimarisha Usimamizi na Uthibiti wa Ubora kwenye Shule.
 
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo, akifungua rasmi mafunzo ya Kuimarisha Usimamizi na Uthibiti wa Ubora kwenye Shule jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo (katikati) akiwa katika picha ya kumbukumbu.

No comments:

Post a Comment

Pages