HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 25, 2022

TANZANIA COMMERCIAL BANK YATOA VIFAA VYAKUONGEZAUSALAMA BARABARANI KWA JESHI LA POLISI


Mkurugenzi wa Masoko na ukuzaji biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania Commercial Bank TCB Deogratius  Kwiyukwa (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kinondoni  Notkey Kilewa, wakati  wa hafla yakukabidhi msaada wa vifaa vya kuongezea usalama barabarani pamoja na  vibanda kumi vya kupunzikia askari wa  kitengo hicho makabidhiano hayo yamefanyika katika kituo kikubwa cha polisi cha Oystebay jijini Dar es Salaam. wengine pichani ni Meneja wa Tanzania Commercial Bank Tawi la Ubungo Abas Juma pamoja na Mkuu wa Usalama Barabarani kituo cha Urafiki ubungo Amina Saidi.


Mkurugenzi wa Masoko na ukuzaji biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania Commercial Bank TCB Deogratius  Kwiyukwa (kushoto), akishikana mikono na  Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kinondoni  Notkey Kilewa, wakati  wa hafla yakukabidhi msaada wa vifaa vya kuongezea usalama barabarani pamoja na  vibanda kumi vya kupunzikia askari wa  kitengo hicho makabidhiano hayo yamefanyika katika kituo kikubwa cha polisi cha Oystebay jijini Dar es Salaam. wengine pichani ni Meneja wa Tanzania Commercial Bank Tawi la Ubungo Abas Juma pamoja na Mkuu wa Usalama Barabarani kituo cha Urafiki ubungo Amina Saidi.

Mkurugenzi wa Masoko na ukuzaji biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania Commercial Bank TCB Deogratius  Kwiyukwa (kulia), akizungumza wakati wa hafla yakukabidhi msaada wa vifaa vya kuongezea usalama barabarani pamoja na  vibanda kumi vya kupunzikia askari wa  kitengo hicho makabidhiano hayo yamefanyika katika kituo kikubwa cha polisi cha Oystebay  wengine pichani ni Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kinondoni  Notkey Kilewa,pamoja na Mkuu wa Usalama Barabarani kituo cha Urafiki ubungo Amina Saidi.

Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kinondoni  Notkey Kilewa,akizungumza mara baada ya kupokea mdaa wa vifaa vyakuongezea usalama barabarani pamojana vibanda kumi vya kupunzikia askari kutoka  Tanzania Commercial Bank. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na ukuzaji biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania Commercial Bank TCB Deogratius  Kwiyukwa pamoja na Mkuu wa Usalama Barabarani kituo cha Urafiki ubungo Amina Saidi.

Picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

Pages