HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 20, 2022

BENKI YA CRDB IMETOA SWADAKA KWA AJILI YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI KWA WAHESHIMIWA WABUNGE

 

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Waheshimiwa Wabunge kutoka kwa Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile.


Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi mbalimbali ikiwemo miswala, tasbihi, chetezo, vikombe, tende na udi kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa waheshimiwa Wabunge kutoka kwa Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile.


Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Benki ya CRDB mara baada ya Benki hiyo kumkabidhi zawadi mbalimbali ikiwemo miswala, tasbihi, chetezo, vikombe, tende na udi kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa waheshimiwa Wabunge.

No comments:

Post a Comment

Pages