Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika
mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Dkt. James Mwangi aliyeambatana
na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika
picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Dkt. James Mwangi mara
baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2022.
.jpg)


No comments:
Post a Comment