HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 14, 2022

Rais Samia awasili Jijini Washington Marekani

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi, Watumishi  wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania pamoja na baadhi ya Wawakilishi kutoka nchi za SADC  waliofika kumpokea alipowasili Jijini Washington Nchini Marekani kwa ajili ya kuanza ziara ya Kikazi tarehe 13 April 2022.

No comments:

Post a Comment

Pages