HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 19, 2022

Rais Samia azungumza katika Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour, New York Marekani

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na kuagana na Wageni mbalimbali mara baada ya uzinduzi wa  filamu ya Tanzania The Royal Tour katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani tarehe 18 Aprili, 2022.






No comments:

Post a Comment

Pages