HABARI MSETO (HEADER)


 


Breaking

July 24, 2022

Vodacom yazindua duka linalotembea jijini Mwanza

 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel (aliyevaa  kofia) akikata utepe kuzindua huduma ya duka la Vodacom linalotembea (Vodacom Mobile Shop) kwenye hafla iliyofanyika jijini Mwanza, wa kwanza kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Amina Makilagi, Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania Linda Riwa na Mkuu wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ziwa Ayubu Kalufya(kulia), duka hilo litasogeza huduma karibu zaidi na wananchi haswa walio pembezoni.

No comments:

Post a Comment

Pages