Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Sherehe za Kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam 1444 A.H Bi Raya Hamad Suleiman (kulia), akipokea Cheti cha Shukrani kutoka kwa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaab, hafla hiyo ilifanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mufti Mazizini Zanzibar. (PICHA NA TALIB USSI).

No comments:
Post a Comment