Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Alhaj Othman Masoud Othman, akimpa pole leo Mwandishi wa Habari Talib Ussi Hamad kwa kufiwa na Mke wake Marehemu Bi. Hafsa Said Salum, Septemba 11, 2022.

Marehemu Bi. Hafsa aliyefariki dunia jana Septemba 11, amezikwa katika Makaburi ya Kianga, Mkoa wa Mjini Magharib Unguja.
Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi, Amin!
No comments:
Post a Comment