HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 24, 2022

U23 YAJIVIKA MABOMU KWA WA SUDAN


Na Mwandishi Wetu

Kikosi cha Timu ya Taifa U 23 kimetua nchini Rwanda tayari kwa mchezo wa mkondo wa pili wa kuwania kufuzu Afcon dhidi ya Sudan.

Kikosi hicho kimeondoka nchini mara tu baada ya kutamatuka mchezo wa mkondo wa kwanza wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika AFCON kwa umri huo dhidi ya Sudan ulifanyika Jana katika Dimba la Chamazi na kumalizika kwa Suluhu.

Mchezo wa marejeano utarajiwa kupigwa September 26 nchini Rwanda Ili kumpata mshidi atakaye songa mbele katika hatua zijazofuata.

Ni wazi utakuwa mchezo mgumu sana kwa timu zote mbili kutokana na matokeo ya mechi ya kwanza.

Kila timu itaingia kwenye mchezo huo ikihitaji ushindi tu na si vinginevyo.

No comments:

Post a Comment

Pages