Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Rehema Madenge, akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika Tawi la Benki ya NMB Mlimani City jijini Dar es Salaam.Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Rehema Madenge, akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika Tawi la Benki ya NMB Mlimani City jijini Dar es Salaam.Meneja wa NMB Tawi la Mlimani City, Deogratius Kawonga, akizungumza na wateja wa benki hiyo wakati wa hafla ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika Tawi la Benki ya NMB Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Donatus Richard, akizunguza na wateja wa benki hiyo hiyo wakati wa hafla ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika Tawi la Benki ya NMB Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mkuu waHuduma kwa Wateja Benki ya NMB, Abela Tarimo, akizungumza wakati hiyo wakati wa hafla ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika Tawi la Benki ya NMB Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Rehema Madenge (katikati) akikata keki wakati wa hafla ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika Tawi la Benki ya NMB Mlimani City jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Donatus Richard na kulia ni Mkuu waHuduma kwa Wateja Benki ya NMB, Abela Tarimo.
Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Rehema Madenge (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na maafisa wa benki ya NMB.
No comments:
Post a Comment