Naibu Waziri wa Maji, Nishati na Madini, Shaaban Ali Othman (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa wakaazi wa Kinooni Shehia ya Kiboje baada ya kutimiza ahadi ya kuwafikishia huduma ya maji.
Mkaazi wa Kinooni Shehia ya Kiboje Unguja Yusta Clauzi akishukuru Naibu Waziri wa Maji Nishati na Madini Shaaban Ali Othman kwa kutimiza ahadi ya kuwafikishia huduma ya umeme katika eneo hilo.





No comments:
Post a Comment