HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 22, 2023

Benki ya CRDB yawapa ubalozi wachezaji wa Simba na Yanga


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba. Imani Kajula wakati wa hafla kuingia mkataba wa kuwapa ubalozi wa Benki ya CRDB wachezaji wa Simba na Yanga.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula wakisaini mkataba wa kuwapa ubalozi wa Benki ya CRDB wachezaji wa Simba Clatous Chama na Mohamed Hussein 'Shabalalal'.


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akizungumza katika hafla ya kuwatangza wachezaji wa Simba Clatous Chama na Mohamed Hussein kuwa mabalozi wa Benki ya CRDB.

No comments:

Post a Comment

Pages