HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 22, 2023

Benki ya CRDB yawapa ubalozi wachezaji wa Simba, Yanga

 


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula wakisaini mkataba wa mabalozi wa Benki ya CRDB wachezaji wa Simba Clatous Chama na Mohamed Hussein 'Shabalala' kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha kwa jamii.
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula wakati wa hafla ya kuingia mkataba wa kuwapa ubalozi wa Benki ya CRDB wachezaji wa Simba na Yanga kwa ajili ya kutoa elimu kwa jamii juu ya elimu ya fedha.
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akizungumza katika hafla ya kuwatangza wachezaji wa Simba Clatous Chama na Mohamed Hussein kuwa mabalozi wa Benki ya CRDB  kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha kwa jamii.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula akizungumza katika hafla ya kuwatangza wachezaji wa Simba Clatous Chama na Mohamed Hussein kuwa mabalozi wa Benki ya CRDB  kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha kwa jamii.

 
 

No comments:

Post a Comment

Pages