HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 04, 2023

RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN MWINYTI AMEFANYA ZIARA YA KUSHTUKIA MRADI WA UJENZI WA SOKO LA KISASA CHUINI UNGUJA LEO


MAFUNDI wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Zanzibar, wakiendelea na uwekaji wa nondo katika Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Chuini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Wakala wa Mejengo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.Mhandisi Mansour Mohammed Kassim akitowa maelezo ya Kitaalum ya ujenzi huo, wakati alipofanya ziara ya kustukiza kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Chuini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 4-3-2023 kujionea maendeleo ya ujenzi wa mradi huo.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya ziara ya kushtukiza kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Chuini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, linalojengwa na Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Zanzibar.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohammed, wakati wa ziara yake ya kustukiza kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Chuini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 4-3-2023.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akitowa maelekezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kutembelea.Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Chuini Wilaya ya Magharibi “A”Unguja leo 4-3-2023.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa maelekezo kwa Wajenzi wa Mradi wa Soko la Kisasa Chuini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja wakati wa ziara yake ya kushtukiza, kutembelea ujenzi wa Mradi huo leo 4-3-2023. (Picha zote na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages