HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 02, 2023

UTT AMIS yashiriki Mkutano wa Fursa za Soko la Afrika kwa Wanawake na Vijana

  

Meneja Masoko UTT AMIS Ndg. Daudi Mbaga akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndg. John Mongela katika Mkutano wa Fursa za Soko la Afrika kwa Wanawake na Vijana ulioandaliwa na taasisi ya TAWEN jijini Arusha kuanzia Machi 2-4, 2023.

 

 Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndg. John Mongela, akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la UTT AMIS  katika Mkutano wa  Fursa za Soko la Afrika kwa Wanawake na Vijana ulioandaliwa na taasisi ya TAWEN jijini Arusha kuanzia Machi 2-4, 2023. 



No comments:

Post a Comment

Pages