HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 27, 2023

SAFARI YA TIMU YA TAIFA YA VIJANA U 18 NA 20 KUELEKEA ZAMBIA

MSAFARA wa Timu ya Taifa ya Riadha Vijana chini ya miaka 18 na 20, uliyoondoka alfajiri ya leo Aprili 25, kwa basi kuelekea Zambia, umefika salama jijini Mbeya.



Msafara huo wenye wachezaji 15 na viongozi sita, uliondoka alfajiri ya leo Aprili 25 kwa basi dogo maalumu lililotolewa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT), ambapo watapumzika leo jijini Mbeya baada ya kuwasili majira ya saa 12 jioni, kabla ya mapema alfajiri Aprili 26 kuendelea na safari hadi Ndola, Zambia ambako yatafanyika mashindano ya Afrika kwa vijana wa umri huo.

K b . .4


No comments:

Post a Comment

Pages