Sheikh Mkuu na Mufti wa
Tanzania Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa
Tanzania Commercia Bank Sabasaba Moshingi (watatu kushoto), wakiwaongoza wateja
wa pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo kupata mlo wa futari uliyoandaliwa
na Tanzania Commercia Bank kwa ajili ya wateja wake jijini Dar es Salaam.
Hafla hiyo imefanyika makao makuu ya Benki hiyo jengo la millenium towerMkurugenzi Mtendaji wa
Tanzania Commercia Bank Sabasaba Moshingi (kushoto), akiongozana pamoja
na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,
Sheikh Walid Alhad Omar na viongozi
mbalimbali wa kidiniwa mkoa wa Dar es Salaam wakati wa hafla yakushiriki mlo wa futari uliyoandaliwa na Tanzania
Commercia Bank kwa ajili ya wateja wake jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo
imefanyika makao makuu ya Benki hiyo jengo la millenium tower
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercia Bank Sabasaba Moshingi akizungumza wakati wa hafla yakushiriki mlo wa futari uliyoandaliwa na TCB kwa ajili ya wateja wake jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo imefanyika makao makuu ya Benki hiyo jengo la millenium tower


No comments:
Post a Comment