HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 31, 2023

MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA EAC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akishiriki Mkutano wa Dharura wa 21 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika Ikulu ya Bujumbura nchini Burundi leo tarehe 31 Mei 2023.




No comments:

Post a Comment

Pages