HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 05, 2023

Benki ya CRDB yadhamini Mashindano ya Corporate Masters Golf 2023

 

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damasi Ndumbaro, akipongezana na mchezaji wa gofu, Martin Warioba (kushoto), wakati wa Mashindano ya Corporate Masters Golf 2023 yaliyofanyika kwenye viwanja vya Gymkana jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki na kudhaminiwa na Benki ya CRDB.

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damasi Ndumbaro (kushoto), akibadilishana mawazo na wachezaji wa gofu, Gilman Kasiga (kulia), Martin Warioba (wa pili kulia) na Manasseh Kawoloka, wakati wa Mashindano ya Corporate Masters Golf 2023 yaliyofanyika leo Agosti 5, 2023 kwenye viwanja vya Gymkana jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki na kudhaminiwa na Benki ya CRDB.
Mchezaji wa Gofu Martin Warioba akiingiza mpira wa gofu kwenye shimo wakati wa Mashindano ya Corparate Masters Golf yaliyofanyika leo Agosti 5, 2023 kwenye viwanja vya Gymkana jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki na kudhaminiwa na Benki ya CRDB.

Gibson Mlaseko akipiga mpira wa gofu.





No comments:

Post a Comment

Pages