HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 16, 2024

RAIS SAMIA ATEMBELEA MAJIRANI ZAKE MTAA WA MOMBASA, UNGUJA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na majirani zake wa zamani Bi Asha Salum Abdallah ambaye walisoma wote Shule ya Msingi na Sekondari na mume wake Inspekta Mstaafu wa Jeshi la Polisi Rashid Zam Ali pamoja na Binti yao na mjukuu alipotembelea majirani zake wa zamani mtaa wa Mombasa, Unguja Zanzibar, tarehe 15 Aprili, 2024.

No comments:

Post a Comment

Pages