HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 18, 2024

KAMATI MAALUM OFISI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR YATEMBELEA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

 

KAMATI Maalum Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Zanzibar imetembelea Ofisi kuu ya Utabiri,  Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na kupata uzoefu wa utoaji wa taarifa za tahadhari za hali mbaya ya hewa zinazosaidia katika kukabiliana na maafa.

No comments:

Post a Comment

Pages