Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza viongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na mamia ya wananchi katika maziko ya kaka yake, marehemu Abbas Ali Mwinyi, aliyefariki jana.
Maziko hayo yamefanyika leo tarehe 26 Septemba 2025, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mapema, Dkt. Mwinyi alijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu, ndugu, jamaa na marafiki kwa Sala ya Ijumaa pamoja na Sala ya kumsalia marehemu katika Msikiti wa Jamia Zinjibar, Mazizini, Mkoa wa Mjini Magharibi.
September 26, 2025
Home
Unlabelled
Rais Dkt. Mwinyi aongoza waombolezaji maziko ya kaka yake
Rais Dkt. Mwinyi aongoza waombolezaji maziko ya kaka yake
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.







No comments:
Post a Comment