HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 17, 2025

VISION CARE YAADHIMISHA WIKI YA MACHO DUNIANI KWA UPIMAJI MACHO BURE

Mwenyekiti wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya VISION CARE FOUNDATION Tanzania  Dkt. Eden Shayo  akitoa huduma ya upimaji wa macho kwa wananchi wa Kata ya Goba waliofika katika Zahanati ya Goba Manispaa ya Ubungo Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Macho Duniani, huduma hiyo ilitolewa bure huduma hizo.




No comments:

Post a Comment

Pages