HABARI MSETO (HEADER)


 


Breaking

March 13, 2026

WAZIRI WA KILIMO DANIEL CHONGOLO ATOA HEKA 500 ZA MASHAMBA KWA VIJANA WA SHAMBA TOUR

WAZIRI wa Kilimo, Mh. Daniel Chongolo @daniel_godfrey_chongolo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Gerald Mweli @gerrygeofrey , wamekabidhi hekari 500 kwa vijana wa Shamba Tour wanaoongozwa na Emmanuel Mgaya @mkandamizaji ikiwa ni jitihada za Serikali katika kuunga mkono kilimo kwa vijana.


Mashamba hayo yanapatikana katika Kijiji cha Ndogowe Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma ambapo Serikali inaendesha mradi wa BBT.

Shamba Tour ni mkusanyiko wa vijana kutoka katika mikoa mbalimbali ambao wameamua kuingia kwenye sekta kilimo.
@wizara_ya_kilimo






No comments:

Post a Comment

Pages