HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 20, 2013

URA YAIFUNGA SIMBA 2-1, KESHO KUPAMBANA NA YANGA

 Mshambuliaji wa Simba, Marcel Boniventure akichuana na beki wa URA ya Uganda, Walulya Derrick  katika mchezo wa kimatifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. URA imeshinda 2-1. (Picha na Habari Mseto Blog)
Mshambuliaji wa Simba, Marcel Boniventure akitafuta mbinu za kumtoka beki wa URA ya Uganda, Walulya Derrick.
Mshambuliaji wa Simba, Betram Mombeki akishangilia bao pekee aliloifungia timu yake katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki dhidi ya URA ya Uganda. 
 Heka heka katika lango la URA. 

 Beki wa URA, Mugabi Jonathan akitoka nje baada ya kuumia.
Waamuzi wa mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

Pages