HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 19, 2012

PPF YATOA MSAADA WA MABATI, SARUJI KWA AJILI YA UJENZI WA MABWENI YA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA KATA -JIMBO LA SAME

 MENEJA wa Masoko na Wanachama wa PPF, Godfrey Mollel akikabidhi msaada wa mabati kwa mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela, msaada huo ambao ni tani tano za saruji na mabati 50 ulitolewa na PPF kwa ajili ya ujenzi wa mabweni katika shule za kata za jimbo hilo.
MENEJA wa masoko na wanachama wa PPF, Godfrey Mollel akikabidhi sehemu ya msaada wa tani tano za saruji zilizotolewa na PPF kwa mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela, msaada huo ambao ni tani tano za saruji na mabati 50 ulitolewa na PPF kwa ajili ya ujenzi wa mabweni katika shule za kata za jimbo hilo vyote vikiwa na thamani ya sh milioni tatu.

No comments:

Post a Comment

Pages