HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 19, 2012

WANANCHI WA JIMBO LA KATAVI WAMSHUKURU WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMBAYE NI MBUNGE WAO KWA KUWALATEA MAENDELEO

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa  madawati kwakukata utepe katika kijiji cha inyoga katavi kulia kwake ni mkuu wa mkoa wa Katavi Dr Rajabu  Rutengwe na kushoto ni mwenye kiti wa kijiji cha Inyogo bwana Athon Kanyika mh waziri mkuu ambaye ni mbunge wa jimbo la katavi yupo katika jimboni kwa ziara ya kukagua  shughuli za maendeleo. (Picha na Chris Mfinanga)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amepewa heshima ya kimila kwa kuvishwa kofia na kukabidhiwa mkuki na wazee wa Inyonga kama ishara ya kutambua mchango wake kwa wananchi wa mkoa wa katavi, Waziri Mkuu ambaye ni mbunge yupo jimboni katavi katika kuhamasisha maendeleo.

No comments:

Post a Comment

Pages