Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Ussi Khamis, akizungumza katika mkutano na viongozi wa Chama cha Kijamii (CCK),
uliofanyika katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam, wakati Chama
hicho kilipowasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya jana. (Picha Zote kwa Hisani ya Tume ya Katiba).
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Eather Mkwizu (kulia) akizungumza katika mkutano na Viongozi wa Chama cha Kijamii (CCK) uliofanyika katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar
es Salaam wakati Chama
hicho kilipowasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya janA.
Mjumbe wa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Salim Ahmed Salim (wa pili kushoto) akizungumza katika mkutano na
Viongozi wa Chama cha Kijamii (CCK) uliofanyika katika Viwanja vya Karimjee Jijini
Dar es Salaam wakati Chama hicho kilipowasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya jana.
1. Mwenyekiti
wa Chama cha Kijamii (CCK), Constantine Makitanda akizungumza katika mkutano uliofanyika
katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam
na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba mara baada ya Chama hicho kuwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya jan.
Mjumbe wa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Ndg. Riziki Mngwali akizungumza katika mkutano uliofanyika
katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam baina ya Tume hiyo na Chama
cha Wakulima (AFP), wakati ujumbe wa Chama hicho ulipowasilisha maoni yao kuhusu
Katiba Mpya jana.
Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mhe. Raya Hamad akizungumza
katika mkutano na Viongozi wa Chama cha Wakulima (AFP) uliofanyika katika viwanja
vya Karimjee Jijini Dar es Salaam wakati Chama
hicho kilipowasilisha maoni yao
kuhusu Katiba Mpya jana.
Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kulia) akizungumza na Viongozi
wa Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD) waliofika katika Ofisi za Tume
hiyo jana kuwasilisha maoni yao
ya Katiba Mpya. Wa pili kulia ni Katibu wa Tume, Assaa Rashid na kushoto ni Viongozi
wa Chama hicho, Juma Shariff na Moshi Kigundu.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Wakulima (AFP), Rashidi Mohamed akiwasilisha maoni yao kuhusu Katiba kwa Wajumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika katika Viwanja vya Karimjee
Jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi
ya Viongozi wa Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD) wakifuatilia mkutano
baina yao na Tume ya Mabadiliko ya Katiba jana,
ambapoUongozi wa Chama hicho uliwasilisha maoni yao ya Katiba Mpya.
No comments:
Post a Comment