Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu pambano lao na timu ya Taifa ya Cameroon utakaopigwa tarehe 6.2.2013. (Picha na Dande Junior wa Habari Mseto Blog)
Nahodha wa Stars, Juma Kaseja akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Kocha wa timu ya Taifa ya Cameroon, Jean Paul akifafanua jambo. Kushoto ni Meneja wa timu hiyo, Rigobert Song na Nahodha wa timu hiyo, Pierre Wome.
Meneja wa Cameroon, Rigobert Song akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Katikati Kocha Mkuu wa timu hiyo, Jean Paul na nahodha, Pierre Wome .
Meneja wa timu ya Cameroon, Rigobert Song (katikati) akiingia katika Ofisi za TFF wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
Meneja wa timu hiyo, Rigobert Song akifafanua jambo wakati wa mkutano
na waandishi wa habari. Katikati ni kocha Mkuu wa timu hiyo, Jean
Paul na nahodha, Pierre Wome
No comments:
Post a Comment