Hapo ni wakati Drogba alipokuwa akishuka kwenye ndege na kupewa bendera ya klabu yake mpya ya Galatasaray.
Mashabiki wa Galatasaray wakishika skafu maalum ya kumkaribisha Drogba aliyesajiliwa na klabu hiyo akitokea Shanghai Shenhua ya China.
Drogba akiwapungia mkono mashabiki wa Galatasaray wakati aliposawili kwenye Uwanja wa ndege jijini Istanbul, Uturuki.
Polisi wakilinda usalama kuzuia kundi la mashabiki kuvuka uzio wakati wa mapokezi ya Drogba aliyesajiliwa na klabu hiyo akitokea Shanghai Shenhua ya China.
Drogba akiwa ameshikilia na kuibusu skafu iliyoandikwa jina lake wakati wa mapokezi yake.
Wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa wamemzunguka Drogba, aliyesajiliwa na klabu hiyo akitokea Shanghai Shenhua ya China.
No comments:
Post a Comment