HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 05, 2013

KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO

Ngeleja (kulia) na Anne Kilango
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akibadilishana mawazo na mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) katika viwanja vua bunge mjini Dodoma. (Picha na Mwanakombo Jumaa-Maelezo)
 Spika wa Bunge, Anne Makinda akitoa maelezo
 Ndesamburo (kushoto) na Arfi wakifuatilia hoja bungeni mjini Dodoma
 Stella Manyaya (kulia) akiongea nanHawa Ghasia.
Naibu Waziri wa Afya, Seif Rashid (kushoto), akizungumza na Waziri wa Viwanda, Abdalla Kigoda

No comments:

Post a Comment

Pages