JESHI LA ULINZI LA
WANANCHI WA TANZANIA
15
Februari 2013
Meli
vita tatu (3) kutoka Jeshi la Wanamaji la Urusi zijulikanazo “MARSHAL
SHAPOSHNIKOV”, “ALATAU” na “IRKUT”
zikiongozwa na Rear Admiral Vladimir Vdovenko, watawasili nchini tarehe 16
February 2013 na kuondoka tarehe 20 Februari 2013 katika bandari ya Dar
es Salaam kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa
Tanzania na Urusi.
Waandishi
wa Habari mnakaribishwa kufanya ‘coverage’ ya tukio hilo
Siku
ya Jumatatu, tarehe 18 February 2013 saa
1.00 hadi saa 3.00 usiku.
Imetolewa
na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano, Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
K U
M B U K U M B U
MMJ/JB/
Feb 13
DP ADMN
No comments:
Post a Comment