HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 08, 2013

ZIARA YA DK.SHEIN, WILAYA MAGHRIBI UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi ukumbi wa mikutano wa Ushirika wa Meli Nne Saccos,alipokuwa katika katika ziara ya Wilaya ya Magharibi Unguja iliyomalizika leo. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(katikati) akipata maelezo kutoka kwaKatibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu,Dk.Juma Malik Akili,(kushoto) alipotembelea  maendeleo ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege,unaoendelea,akiwa katika ziara ya Wilaya ya Magharibi Unguja iliyomalizika leo. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Pages