HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 17, 2013

MZEE MWINYI AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati alipozungumzia swala uhalali wa kuchinja ambalo limekuwa ni gumzo sana hapa nchini kwa kipindi cha hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Pages