HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 09, 2013

UBATIZO


 Mhashamu Askofu Mkuu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Ausideus Nzigilwa akimwashia mshumaa  Melesiana Hamisi  ikiwa ni ishara ya mwanga wa Kristu  wakati wa Ibada ya Mkesha wa Pasaka  uliofanyika katika Kanisa la Mtatifu Petro, Jumla ya watu 20 walipata sakaramenti ya Ubatizo na Kipaimara.
 Mhashamu Askofu Mkuu Msaidizi wa jimbo kuu la Dar es Salaam, Ausideus Nzigilwa akimmwagia maji ya ubatizo Melesiana Hamisi wakati wa ibada ya mkesha wa Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es Salaam,jumla ya wakatukumeni 20 walipata sakaraenti ya ubatizo na Kipaimara.

No comments:

Post a Comment

Pages