Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akitoa mada wakati wa Mkutano
Mkuu wa 18 wa Wanahisa wa benki hiyo uliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa AICC jijini Arusha, mwishoni mwa wiki.
Mmoja wa wajumbe wa mkutano Mkuu wa 18 wa Wanahisa wa CRDB akiwa katika maandalizia ya kuingia katika ukumbi wa mikutano wa AICC jijini Arusha.
Mtangazaji Mkongwe, SalimMbonde (kulia) akifuatilia Mkutano Mkuu wa 18 wa Wanahisa wa CRDB uliofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Wanahisa wa mkutano huo.
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akifuatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati) wakati wa Mkutano Mkuu wa 18 wa Wanahisa wa benki hiyo jijini Arusha.
Mwanahisa akitoa mada.
Mwenyekiti wa Mkutano huo akisoma majina ya wajumbe waliochaguliwa kuingia katika Bodi ya Wakurugenzi.
Naibu Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kushoto) akiwa na baadhi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo pamoja na mmoja wa wanahisa (wa pili kulia).
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyadhiyay akiwa na mke wake pamoja na mjumbe wa bodi ya CRDB, Kai.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano huo.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei.
Wanahisa.
Charles Itembe akitoa mada kuhusu fursa za uwekezaji na
upatikanaji mitaji katika masoko ya fedha wakati wa semina ya wanahisa wa benki
ya CRDB iliyofanyika mjini Arusha.
No comments:
Post a Comment