HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 13, 2013

MBOWE AFANYA ZIARA KATIKA VITONGOJI JIMBO LA HAI

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na Mbunge wa Hai, akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa chama hicho Kijiji cha Mtakuja, Mzee Ally Mbatia. Mbowe yuko katika ziara ya kukagua uhai na kuimarisha ujenzi wa chama katika ngazi ya chini kabisa ya chama hicho, msingi, kwenye maeneo ya vitongoji mbalimbali katika vijiji vya Jimbo la Hai.

No comments:

Post a Comment

Pages