HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 14, 2013

CRDB ILIVYOSHIRIKI MAONESHO YA TAASISI ZA KIFEDHA

 Mbunge wa Kilindi, Mh. Beatrice Shelukindo akipata maelezo kutoka kwa maofisa wa benki ya CRDB wakati alipotembelea banda la benki hiyo katika Maonesho ya Taasisi za fedha yaliyofanyika katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma. (Na Mpiga Wetu)
 Mbunge wa Kigoma Kusini Mh. David Kafulila akipata maelezo kutoka kwa maofisa wa benki ya CRDB wakati alipotembelea banda la benki hiyo katika Maonesho ya Taasisi za fedha yaliyofanyika katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel Nchimbi akipata maelezo kutoka kwa maofisa wa benki ya CRDB wakati alipotembelea banda la benki hiyo katika Maonesho ya Taasisi za fedha yaliyofanyika katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma. 
 Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mh. Fatuma Mikidadi akipata maelezo kutoka kwa maofisa wa benki ya CRDB wakati alipotembelea banda la benki hiyo katika Maonesho ya Taasisi za fedha yaliyofanyika katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Mbunge wa Jimbo la Mhambwe Mh. Felix Mkosamali akiweka sahihi katika kitabu cha wageni alipotembelea banda la benki ya CRDB wakati wa Maonesho ya Taasisi za fedha yaliyofanyika katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
 Mbunge wa Jimbo la Bariadi Mashariki akipata maelezo kutoka kwa maofisa wa benki ya CRDB wakati alipotembelea banda la benki hiyo katika Maonesho ya Taasisi za fedha yaliyofanyika katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Mh William Lukuvi akisisitiza jambo wakati alipotembelea banda la benki ya CRDB katika Maonesho ya Taasisi za fedha yaliyofanyika katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Pages