Polisi wakimsihi Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua
Nassari aondoke nje ya kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya kata ya
Kimandolu, pamoja na makada wa CCM hawako pichani ambapo walitakiwa kukaa mita
200 badala ya mita 100. Katika uchaguzi huo Chadema imeshinda katika kata zote nne. (Picha zote na Ferdinand Shayo)
Polisi wakimsihi Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua
Nassari aondoke nje ya kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya kata ya
Kimandolu, pamoja na makada wa CCM hawako pichani ambapo walitakiwa kukaa mita
200 badala ya mita 100.
Makarani wa uchaguzi wakiingiza masanduku ya kura katika
ofisi ya kata ya Kimandolu kutoka kituo cha kupigia kura cha shule ya
msingi kimandolu.
Makarani wa uchaguzi wakiingiza masanduku ya kura katika
ofisi ya kata ya Kimandolu kutoka kituo cha kupigia kura cha shule ya
msingi kimandolu.
Polisi wakiimarisha ulinzi katika lango kuu la kuingilia
kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya kata ya Kimandolu katika uchaguzi
ulifanyika leo mjini Arusha.
Mkazi wa kata ya kimandolu akichomvya wino mara baada ya kukamilisha zoezi la kumchagua diwani wa kata hiyo liliofanyika Julai 14 katika kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata.
Mkazi
wa Kata ya Kimandolu akitumbukiza kura yake wakati wa uchaguzi wa madiwani
uliofanyika mjini Arusha.
Mkazi wa kimandolu,Juliana Mosha akitumbukiza kura yake katika sanduku la kura katika uchaguzi wa madiwani uliofanyika jana kuziba nafasi ya aliyekuwa diwani wa kata hiyo,zoezi hili lilifanyika katika kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata
Dina Naftal Mkazi wa kata ya kimandolu akitumbukiza kura yake katika sanduku la kura katika uchaguzi wa madiwani kuziba nafasi ya aliyekuwa diwani wa kata hiyo, zoezi hili lilifanyika katika kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata.
Wakala wa chama cha siasa akihakiki kitambulisho cha mpiga kura kabla ya kuruhusiwa kupiga kura ya kumchagua diwani wa kata hiyo ya Kimandolu, zoezi hili lilifanyika katika kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata
Wakazi wa kimandolu wakifuatilia majina yao kwa makini ili kufahamu vyumba husika vya kupigia kura.
Wakazi wa kimandolu wakifuatilia majina yao kwa makini ili kufahamu vyumba husika vya kupigia kura.
Wakazi wa kimandolu wakifuatilia majina yao kwa makini.
Wakazi wa kimandolu wakifuatilia majina yao.
Polisi akiwasogeza wananchi waliokuwa karibu na kituo cha kupigia kura cha Shule ya msingi Kimandolu ambapo walitakiwa kukaa umbali wa mita 200 na sio mia 100 kama ilivyozoeleka.
No comments:
Post a Comment