Baadhi ya wateja waliofika katika banda la CRDB wakipata huduma za kuweka na kutoa hela katika tawi linalotembea la benki hiyo (Mobile Branch) lililopo katika viwanja vya maonesho sabasaba.
Huduma zikiendelea
Maofisa Mauzo wa benki ya CRDB wakiwahudumia wateja waliofika katika banda lao.
Mteja akipata maelezo ya faida za huduma za benki ya CRDB kabla hajafungua akaunti.
Baada ya kuridhika na maelezo ya Ofisa Mauzo wa CRDB, mteja anaamua kufuangua akaunti.
Wengi walivutiwa na huduma za CRDB.
No comments:
Post a Comment