HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 04, 2013

MTAALAMU WA MAMBO YA KALE KUTOKA MAREKANI AFANYA UTAFITI NGORONGORO


Mtaalamu wa utafiti wa mambo ya Kale kutoka  chuo cha Colorado Denver Department of Anthropogy,Marekani,Profesa Charles Musiba akitoa taarifa ya maendeleo ya utafutaji wa nyayo za watu kale kwenye eneo la Laetoli wilayani Ngorongoro,mkoa wa Arusha kwa wajumbe wa Kamati ya bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira juzi. (Na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment

Pages