Kampuni ya BM Hair & Beauty Clinic imetimiza miaka 12 tangu kuanzishwa kwake, ambapo ilianza na wafanyakazi watatu na mpaka sasa imefikisha wafanyakazi 40 huku ikiwa ni mpiango ya kupanua huduma zake zaidi kwa kuzipeleka mikoani na baadae Afrika Mashariki kwa ujumla, Kampuni hiyo pia ina mipango ya muda mrefu ya kutekeleza mradi wa jengo kubwa la ghorofa utakaogharimu kiasi cha shilingi bilioni mbili, Hafla hiyo imefanyika jana kwenye ofisi zao zilizoko Kinondoni kwa Manyanya jijini Dar es salaam.
Benno Chelele Mkurugenzi wa Kampuni ya BM Hair & Beauty Clinic akizungumza na waandishi wa habari.wakati akielezea mafanikio na changamoto ambazo wamekutana nazo tangu kuanzishwa kwa kampuni hiyo. (Picha na Full Shangwe)
October 04, 2013
Home
Unlabelled
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.


No comments:
Post a Comment