HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 09, 2013

MAGARI MATATU YAGONGANA KATIKA ENEO LA KABUKU, TANGA
 Lori la Mizigo likiwa limeacha njia leo, baada ya kugongana na basi katika eneo la Kabuku mkoani Tanga na kuyahusisha magari matatu katika ajali hiyo. (Picha na Francis Dande) 
 Askari wa usalama barabarani wakiwa katika eneo la tukio.
Baadhi ya watu wakishuhudia ajali iliyoyakutanisha malori mawili pamoja na basi la abiria lenye namba za usajili T 158 BXG, iliyotokea leo katika eneo la Kabuku, mkoani Tanga.

No comments:

Post a Comment

Pages