Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Profesa Steiner Kvisland kutoka
hospiltali ya Chuo Kikuu cha Haukeland, Norway, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiagana na Profesa Steiner Kvisland kutoka hospiltali ya Chuo Kikuu cha Haukeland, Norway,baada ya
mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.




No comments:
Post a Comment