HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 10, 2013

ZIARA  YA ZITTO KABWE KANDA YA MAGHARIBI, JIMBO LA IGALULA
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akihutubia wakazi wa Igagula, ikiwa ni siku ya 5 katika Kanda ya Magharibi katika jimbo la Igalula, wilaya ya Uyui, ambapo ametembelea katika vijiji vya Goweko, Loya, Miswaki, Miyenze na Kigwa.

No comments:

Post a Comment

Pages