Muuguzi katika Hospitali ya Selian akimuhudumia mmoja wa majeruhi wa mlipuko wa bomu, Deepak Gupta uliotokea katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Casino uliopo jirani na viwanja vya Gymkhana jijini Arusha, ambapo
watu wanane wamejeruhiwa katika tukio hilo na wamelazwa katika hospitali ya KKK
Seliani. (Picha zote na Ferdinand Shayo).
Majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea leo asubuhi Vama Bar karibu na eneo la Gymkhana jijini Arusha, akiwa amekatwa mguu mmoja baada ya kujeruhiwa na bomu katika tukio hilo watu 8 wamejeruhiwa na kukimbizwa katika hospitali ya Seliani kwa matibabu.
Mmoja wa majeruhi akiwa amelazwa hospitali.
Vitu vikiwa vimeharibika vibaya ndani ya Mgahawa wa Vama Bar baada ya kutokea mlipuko wa Bomu.
No comments:
Post a Comment